TANGAZO LA MAOMBI YA UFADHILI WA MASOMO

08-06-2026

By Admin, Communication and Information Office,

Taasisi ya Chuo cha Afya Cha  Mt.Bakhita inapenda kuwatangazia wanafunzi na wadau Mbalimbali kuwa Dirisha la kuchukua form kwa ajili ya Maombi ya ufadhili wa masomo limefungiliwa kwanzia Tarehe 28/05/2026 Fomu zinapatikana chuo 



View atachement