By Admin, Communication and Information Office,
Uongozi wa Chuo cha Afya ST. BAKHITA unawataarifu wanafunzi wapya na wanaoendelea kuwa mchanganuao mpya wa ada kwa mwaka wa masomo husika umeshatolewa.
Usajili unaendelea kwa kozi zifuatazo:
✅ Clinical Medicine
✅ Nursing and Midwifery
✅ Pharmaceutical Sciences
✅ Radiology
✅ Community Development (Ustawi wa Jamii)
Kwa maelezo zaidi kuhusu ada, sifa za kujiunga na namna ya kufanya usajili, tafadhali wasiliana na Ofisi ya Udahili.
📞 Simu: 0616 467 228
ST. BAKHITA – Elimu Bora kwa Huduma Bora ya Afya.