Pharmaceutical Sciences CSSC Digital learning platform



12-06-2026

By Admin, Communication and Information Office,

https://cssc-hte.or.tz/course/view.php?id=2;      

 

KUHUSU CSSC NA DiPHARM

CSSC (Christian Social Services Commission) ni taasisi inayoratibu na kuimarisha huduma za afya na elimu zinazotolewa na taasisi za Kikristo nchini Tanzania. Kupitia CSSC, vyuo vya afya vinasaidiwa kuboresha ubora wa mafunzo na matumizi ya teknolojia katika elimu.

DiPHARM (Digital Platform for Health and Allied Sciences Learning) ni mfumo wa kisasa wa kujifunzia mtandaoni uliotengenezwa kusaidia wanafunzi wa afya kupata masomo, majaribio, kazi za kozi, nyenzo za kujifunzia na mawasiliano na wakufunzi kwa njia ya kidijitali.

Kupitia DiPHARM, mwanafunzi anaweza:
✅ Kupata masomo wakati wowote na mahali popote.
✅ Kupakua na kusoma nyenzo za kujifunzia.
✅ Kufanya majaribio na kazi za kozi mtandaoni.
✅ Kuwasiliana na wakufunzi na wanafunzi wenzake.
✅ Kufuatilia maendeleo yake ya masomo kupitia mfumo.

DiPHARM ni hatua muhimu ya kuimarisha elimu ya afya kwa kutumia teknolojia, hivyo kumwezesha mwanafunzi kujifunza kwa urahisi, ufanisi n